• Mnada wa Madini waiingizia Serikali Bilioni 1.6

  Mnada wa Madini waiingizia Serikali Bilioni 1.6

  Serikali imepata jumla ya shilingi bilioni 1.6 ikiwa ni mapato yaliyopatikana katika mnada wa madini uliofanyika wakati wa  Maonesho ya Tano ya Kimataifa ya Vito yaliyofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Mt.Meru kuanzia tarehe 19 hadi 21, Aprili mwaka huu. Hayo yameelezwa hivi karibuni jijini Arusha na Mkurugenzi wa Kitengo […]

   
 • Madini Kanda ya Ziwa Victoria Magharibi yakusanya bilioni 42.5

  Madini Kanda ya Ziwa Victoria Magharibi yakusanya bilioni 42.5

  Imeelezwa  kuwa  Serikali kupitia  Wizara ya Nishati na Madini – Kanda ya Madini  ya  Ziwa  Victoria Magharibi  imekusanya  jumla ya shilingi 42,505,024,512.66 kati ya kipindi cha mwezi Julai mwaka jana na Aprili 29, mwaka huu. Hayo yalielezwa na Kamishna Msaidizi wa Madini  Kanda ya Ziwa Victoria Magharibi Mhandisi  David Mulabwa, […]

   
 • AfDB yaipongeza Tanzania kwa mradi wa bomba la mafuta

  AfDB yaipongeza Tanzania kwa mradi wa bomba la mafuta

  Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeipongeza Tanzania baada ya nchi ya Uganda kuamua hivi karibuni kuwa Bomba la Mafuta Ghafi lenye kipenyo cha inchi 24 kutoka Hoima nchini Uganda litapita katika ardhi ya Tanzania hadi  bandari ya Tanga. Pongezi hizo zilizotolewa na Mwakilishi Mkazi wa Benki hiyo, Tonia Kandiero […]

   
 • Bomba la mafuta kukamilika 2020

  Bomba la mafuta kukamilika 2020

  Bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi katika bandari  ya Tanga nchini Tanzania linatarajiwa kukamilika  mwezi Juni mwaka  2020. Hayo yalielezwa na  Waziri wa Nishati na Madini,  Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa   akizungumza na waandishi wa habari  mara baada ya kufanyika kwa mkutano kati yake na Waziri wa Nishati na […]

   
 • Wananchi waelimishwa kuhusu maabara ya madini ya TMAA

  Wananchi waelimishwa kuhusu maabara ya madini ya TMAA

  Imeelezwa kuwa Maabara ya Madini ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) mbali na kupima ubora wa Sampuli za Madini kutoka katika Migodi mikubwa, Kati na Midogo kwa ajili ya Serikali kupata Mapato kulingana na ubora wa Madini husika pia inatoa elimu kwa wananchi ili waweze kutumia maabara hiyo […]

   
 • Mnada wa madini waiingizia serikali bilioni 1.6

  Mnada wa madini waiingizia serikali bilioni 1.6

  Serikali imepata jumla ya shilingi bilioni 1.6 ikiwa ni mapato yaliyopatikana katika mnada wa madini uliofanyika wakati wa  Maonesho ya Tano ya Kimataifa ya Vito yaliyofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Mt.Meru kuanzia tarehe 19 hadi 21, Aprili mwaka huu. Hayo yameelezwa hivi karibuni jijini Arusha na Mkurugenzi wa Kitengo […]

   
 • Bomba la mafuta kupita Tanzania

  Bomba la mafuta kupita Tanzania

  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa, bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Ziwa Albert nchini Uganda hadi bandari ya Tanga litapita nchini, baada ya hoja za Tanzania kupitisha bomba hilo kukubaliwa na Uganda. Profesa Muhongo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki, mara tu baada ya kuwasili […]

   
 • DC Arusha aisifu kamati ya maonesho ya Vito Arusha

  DC Arusha aisifu kamati ya maonesho ya Vito Arusha

  Ni kwa Mafunzo ya Uongezaji Thamani Madini kwa Wanawake Mkuu wa  Wilaya  ya  Arusha,  Fadhili Nkurlu ameipongeza Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya  Kimataifa ya Madini ya Vito, Arusha kwa  kutoa ufadhili wa mafunzo ya Ukataji na Ung’arishaji  wa madini ya vito kwa wanawake  29 kupitia Mfuko wa Kuwaendeleza Wanawake […]