• Ongezeni thamani madini kuinua uchumi–Simbachawene

  Ongezeni thamani madini kuinua uchumi–Simbachawene

  Serikali imesema ni lazima kuwekeza katika uongezaji thamani madini ya vito na usonara ili sekta hiyo iweze kuchangia ipasavyo katika maendeleo na uchumi wa nchi. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene aliyasema hayo jana jijini Arusha, wakati akifungua rasmi Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha yanayofanyika katika Hoteli […]

   
 • Wadau madini vito watakiwa kufuata maadili

  Wadau madini vito watakiwa kufuata maadili

  Serikali imewataka wafanyabiashara na wanunuzi wa madini ya vito kuzingatia maadili ya biashara hiyo katika kipindi chote cha Maonyesho ya Vito ya Arusha na siku nyingine kwa manufaa ya pande zote mbili na Taifa kwa ujumla. Agizo hilo lilitolewa na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, Jumatano Aprili 22, […]

   
 • Kaimu RC Arusha atembelea maonesho ya vito

  Kaimu RC Arusha atembelea maonesho ya vito

  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga ametembelea Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha na kuwataka wafanyabiashara wa madini ya vito nchini kuongeza bidii na ubunifu katika kazi yao ili waweze kunufaika na biashara hiyo kwa kukuza kipato chao na uchumi wa nchi kwa ujumla. Mheshimiwa Kasunga aliyasema […]

   
 • Statoil kutoa mafunzo ya gesi,mafuta nchini

  Statoil kutoa mafunzo ya gesi,mafuta nchini

  Meneja wa  Kampuni ya  Utafiti wa Mafuta na  Gesi  ya Statoil Nchini  Øystein Michelsen amesema kuwa  kampuni yake imeanza kutoa mafunzo  kuhusu masuala ya mafuta na  gesi  kwa wataalam  kutoka  taasisi mbalimbali nchini ili kuwapa uelewa mkubwa wa sekta hizo. Michelsen aliyasema hayo alipokutana na  Waziri wa Nishati na Madini, […]

   
 • TBEA kuwekeza umeme vijijini

  TBEA kuwekeza umeme vijijini

  Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imesaini Makubaliano na kampuni ya TBEA Transformer Hengyang Co., Ltd ya China ili kutekeleza mradi wa umeme utakaohusika na ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha, kusambaza,na kuunganisha  umeme kwa wateja katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya. Hayo yalisemwa na Kamishna Msaidizi […]

   
 • Zingatieni sheria,taratibu na kanuni-Kitwanga

  Zingatieni sheria,taratibu na kanuni-Kitwanga

  Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa kuacha kufanya shughuli zao kwa mazoea badala yake wazingatie sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na Serikali ili kuwa na uchimbaji wenye tija kwao na taifa kwa ujumla. Wito huo ulitolewa hivi karibuni katika kijiji cha Itigi, Mkoani Singida na Naibu Waziri wa Nishati na […]

   
 • El Hilal waiomba Serikali kuzuia uvamizi wa wachimbaji wadogo

  El Hilal waiomba Serikali kuzuia uvamizi wa wachimbaji wadogo

  Serikali imeombwa kuingilia kati na kuzuia uvamizi wa maeneo ya mgodi wa almasi wa El Hilal wa Mwadui, wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga unaofanywa na wanakijiji pamoja na wachimbaji wadogo wanaozunguka mgodi huo. Akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati wa ziara yake mgodini hapo, Mkurugenzi […]

   
 • Wachimbaji wadogo nchini watakiwa kuchangamkia fursa

  Wachimbaji wadogo nchini watakiwa kuchangamkia fursa

  Serikali imewataka wachimbaji wadogo wa madini kujiunga katika vikundi na kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali ikiwa ni pamoja na ruzuku, elimu na mafunzo ili kuwa na uchimbaji wa madini wenye tija kwao na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa hivi karibuni katika kijiji cha Sambaru, Wilayani Ikungi na Naibu […]