• Mwijage azitaka kampuni za mafuta kuboresha mahusiano kwa jamii

  Mwijage azitaka kampuni za mafuta kuboresha mahusiano kwa jamii

  Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati), Charles Mwijage amezitaka Kampuni zinazojishughulisha na biashara ya Mafuta nchini, kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha mahusiano mema na jamii zinazowazunguka ili kujenga imani kwa wananchi na hivyo kupata ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na ulinzi wa miundombinu husika. Aliyasema hayo katika […]

   
 • Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

  Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

  Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress na Ujumbe wake, wamekutana na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachewene, katika makao makuu ya  Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam. Viongozi hao walikutana ili kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo miradi ya umeme inayofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), […]

   
 • SAUT yaishukuru Wizara ya Nishati na Madini kusomesha wanafunzi

  SAUT yaishukuru Wizara ya Nishati na Madini kusomesha wanafunzi

  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) tawi la Mtwara kimeishukuru Wizara ya Nishati na Madini kwa kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 40 katika chuo hicho. Pongezi hizo zimetolewa na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo hicho, Padri Dkt. Aidan Msafiri wakati akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ofisini […]

   
 • Mtambo wa gesi Madimba

  Mtambo wa gesi Madimba

  Simbachawene aagiza uwapatie maji wananchi Wananchi wanaoishi jirani na Mtambo wa kuchakata gesi asilia wa Madimba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi mara baada ya Mtambo huo kuanza kazi rasmi. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alitoa agizo la wananchi hao kupatiwa maji kwa wasimamizi wa Mtambo huo […]

   
 • Ziara ya Simbachawene Mtwara

  Ziara ya Simbachawene Mtwara

  Vijiji vingine 15 kupata umeme kabla ya Oktoba Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema Vijiji vingine 15 vilivyoko Mtwara Vijijini vitapatiwa umeme kabla ya mwezi Oktoba mwaka huu. Aliyasema hayo mwanzoni mwa wiki akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mtwara eneo la Msimbati, wakati akijibu maombi ya kuunganishiwa […]

   
 • GST yaboresha maabara ya uchenjuaji madini

  GST yaboresha maabara ya uchenjuaji madini

  Wakala wa Jiolojia Tanzania ( GST ) imefunga mashine za kisasa katika maabara yake ya uchenjuaji madini kwa ajili ya utafiti wa awali wa kuanzisha vi­wanda vya kuchenjua ma­dini (Mineral Processing Plant). Mkuu wa kitengo cha Maabara ya Uchenjuaji ma­dini ya GST, Mhandisi Heri Issa Gombera alisema kuwa kufungwa kwa […]

   
 • Songas yaonesha nia kuongeza uzalishaji umeme

  Songas yaonesha nia kuongeza uzalishaji umeme

  Kampuni ya Songas in­ayozalisha umeme wa kiasi cha megawati 189 kwa kutumia gesi na ku­ingizwa kwenye gridi ya Taifa, imeonesha nia ya kuzalisha umeme zaidi hadi kufikia kiasi cha megawati 500. Mkurugenzi Mtendaji wa kampu­ni hiyo, Christopher Ford, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati al­ipokutana na watendaji wa Wizara […]

   
 • Wizara ya Nishati na Madini yapata tuzo ya kimataifa

  Wizara ya Nishati na Madini yapata tuzo ya kimataifa

  Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya Ki­mataifa ya mwaka ya Maende­leo ya Udhibiti wa Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi. Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International, ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu Duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), […]