Home » Video »

Baragumu la Msimbati: Ziara ya Rais Barack Obama wa Marekani

 

Ziara ya Rais Barack Obama wa Merekani katika mitambo ya kufua umeme ya Symbion iliyopo eneo la Ubungo, Dar es Salaam na Kuzindua utekelezaji wa mpango mkubwa wa umeme wa muda mrefu, unaojulikana kama “Power Africa” utakaoinufaisha Tanzania pamoja na nchi nyingine sita za Afrika