Home » images »

Elimu kuhusu mfumo wa TREIMS yatolewa Njombe

 

Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kitengo cha Teknolojia ya  Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imeendesha mafunzo kuhusu mfumo mpya wa uhifadhi data  na utoaji taarifa kwa ajili ya  nishati jadidifu ujulikanao kama Tanzania Renewable  Energy  Information Management System (TREIMS) kwa wadau wa nishati jadidifu wenye lengo la kutangaza fursa za uwekezaji katika nishati jadidifu nchini,  mjini Njombe.

Imeandaliwa na:

Greyson Mwase,

Afisa Habari,

Wizara ya Nishati na Madini,

5 Barabara ya Samora Machel,

S.L.P 2000,

11474 Dar es Salaam,

Simu: +255-22-2121606/7, Nukushi: +255-22-2121606

Barua Pepe: info@mem.go.tz                                                                               

Tovuti: mem.go.tz