Profesa Mark Mwandosya amtembelea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Juliana Pallangyo jijini Dar es salaam.

Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akielezea uzoefu wake alipokuwa Kamishna wa Kwanza wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, Wizara ya Nishati na Madini mwaka 1985 mara alipomtembelea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo. Kulia ni mwakilishi kutoka Kampuni ya Pan African Energy aliyeambatana na Profesa Mark Mwandosya, Jacqueline Kawishe.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Juliana Pallangyo akisikiliza maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Profesa Mark Mwandosya (hayupo pichani)

 Kutoka kulia, Profesa Mark Mwandosya, Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Nchini  kutoka  Wizara ya Nishati na Madini, James Andilile na mwakilishi kutoka Kampuni ya  Pan African Energy, Jacqueline Kawishe wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Juliana Pallangyo (hayupo pichani).