Taarifa kwa umma-Mh. Profesa Sospeter M. Muhongo amemteua Dk. Steve Mdachi kuwa Mwenyekiti Bodi ya PBPA

 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Untitled

TAARIFA KWA UMMA

 Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb), amemteua Dk. Steve Mdachi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA), kuanzia tarehe 03 Juni, 2016.

 Kufuatia uteuzi huo, amewateua pia wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya PBPA kuanzia tarehe 03 Juni, 2016.

  1. Daniel Sabai
  2. Henry Chalu
  3. Siasa Mzenzi
  4. Salum Mnuna

Imetolewa na;

KATIBU MKUU

6 Juni, 2016