Taarifa kwa Umma-TPDC na Kampuni ya Dangote Group of Industries zakubaliana mauziano ya gesi asilia

 

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) chini ya Wizara ya Nishati na Madini linapenda kuufahamisha umma kuwa, tarehe 08/03/2017 na tarehe 13/03/2017 imefika makubaliano na Kampuni ya Dangote Group of Industries juu ya bei ya mauziano ya gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya kiwanda hicho  cha kutengeneza saruji kilichopo mkoani Mtwara.

>>Soma Zaidi>>